Duration 4:29

Wema Sepetu amezipata habari za Hamorapa kumtaka kimapenzi, ameyajibu haya

121 080 watched
0
492
Published 5 Apr 2017

Siku kadhaa zimepita tangu msanii Harmorapa kuzungumza kuwa muigizaji staa wa Bongo Movies Wema Sepetu ni kati warembo wanaomvutia na kutamani kuwa nao kimapenzi, leo Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram amemjibu Harmorapa kwa kuyaandika haya…

Category

Show more

Comments - 115