Duration 47:31

Waridi Wa BBC: Mume wangu ana umri zaidi ya wazazi wangu

14 819 watched
0
92
Published 27 Feb 2021

Ciru Njuguna na Greg Twin ni wanandoa tangu mwaka wa 2012 waliowachana kiumri kwa zaidi ya miaka 30. Twin ambaye asili yake ni Ujerumani ana miaka 61 na amewazidi umri wazazi wote wawili wa Ciru. Ungana na mwanahabari Anne Ngugi kupata simulizi kamili. #WaridiWaBBC #CirunaGregTwin #Ndoa

Category

Show more

Comments - 37