Duration 28:54

KILIMO CHA MPUNGA

7 115 watched
0
55
Published 24 Sep 2018

Kuzuia upotevu wa mazao baada ya kilimo , kuanzia uvunaji mpaka kuongeza thamani na kupata bei nzuri ya mazao. Makala hii imeandaliwa kwa ushirikiano na shirika la chakula duniani FAO, ikiangazia mradi wa RICE unaotekelezwa na FAO, Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Kilimo na RUDI kwa ufhadhili wa umoja wa ulaya "EUROPEAN UNION"

Category

Show more

Comments - 9