Duration 8:40

MwanaumewaSomerton MKASA WA MWANAUME WA SOMERTON AMBAO VYOMBO VYA UCHUNGUZI VILISHINDWA KUTOA MAJIB

140 watched
0
10
Published 26 Sep 2019

Mkasa wa kweli uliotokea huko nchini Australia mwaka 1948 katika fukwe ya Somerton, km 11 Kusini mwa Mji wa #Adelaide , Ni moja Kati ya MAUAJI ambayo yanaviacha vyombo vya uchunguzi katika Hali ya mshangao kwa namna ya tukio lilivyotokea. USIKOSE KUSUBSCRIBE KWA KUBONYEZA ALAMA YA KITUFE CHEKUNDU NA KENGERE ILI USIPITWE NA SIMULIZI ZA MIKASA YA MATUKIO YALIYOWAHI KUITIKISA DUNIA! ASANTE KWA KUNI-SUPPORT

Category

Show more

Comments - 2