Mshambuliaji wa Coastal Union Ayub Lyanga ambaye pia ndio kinara wa mabao kwenye kikosi hicho anaeleza namna alivyocheza kwa mafanikio Zambia na tofauti anayoiona kwenye Ligi Kuu Tanzania na Zambia.
Ska Kijiweni huruka kila Jumatatu saa 1:00 jioni ndani ya Azam Sports 2.