Duration 9:46

Kinagaubaga: Tundu Lissu azungumzia hatua ya kuvuliwa ubunge

91 185 watched
0
396
Published 2 Jul 2019

Je mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu aliyepigwa risasi kadhaa nchini mwake Tanzania, anazungumzia vipi hatua ya spika wa bunge kumvua ubunge wakati ambapo angali anaendelea kupata huduma za matibabu nchini Ubelgiji? Sikiliza mahojiano yake na Sudi Mnette

Category

Show more

Comments - 130