Duration 11:9

KONGAMANO LA BIASHARA NA UCHUMI LAFUNGUA NJIA KWA VIJANA

733 watched
0
8
Published 30 Jun 2021

Kongamano la Uchumi na Biashara lililoandaliwa na na Taasisi ya MAYODA ECONOMIC GROUP, mkoani Dodoma, lawafungua macho vijana na kuanza kufikiria jinsi ya kuanza kumiliki uchumi wa nchi kupitia ujasiriamali

Category

Show more

Comments - 5