Karibuni wapenzi kutazama video ya jinsi ya kuchora huo wanjaa… Winged eyeliner ni rahisi sana sana sana tazama video hii mpaka mwisho.
Kuwa huru kucomment chochote kizuri hapo chini👇🏾
Maoni, ushauri ama ungependa kujifunza nini kwenye channel yetu🙏🏾
Instagram page yangu:
https://www.instagram.com/p/CYPkdy2qs0o/?utm_medium=copy_link
Kama ukipenda video hii usisahau kuwatumia marafiki ili waweze kujifunza
Usisahau ku subscribe na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata ujumbe ninapotuma video mpya
Category
Show more
Comments - 6
Related videos for JINSI YA KUCHORA EYELINER KWA WASIOJUA KABISA | | NJIA HII RAHIS SANA urembosimplemakeup: