Duration 1:30

Spika Tulia Ackson avishukia vyombo vya habari

190 watched
0
3
Published 8 Jun 2023

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson avishukia vyombo vya habari vinavyoa taarifa zisizo sahihi kuhusu shughuli za Bunge hilo hususani mjadala kuhusu ushirikiano wa serikali ya Tanzania na Dubai kwenye kuendeleza bandari. #AzamTVUpdates #AzamNews #BungeTanzania #UwekezajiBandarini

Category

Show more

Comments - 0