Duration 5:40

JIFUNZE KUTENGENEZA BAHASHA KWA NJIA RAHISI KABISA KWA AJILI YA KUFUNGASHIA BIDHAA KWA WATEJA.

3 972 watched
0
18
Published 6 Nov 2020

JIFUNZE KUTENGENEZA BAHASHA BILA GHARAMA KUBWA Leo nimekuletea njia rahisi ya kutengeneza bahasha za magazeti ya kawaida kabisa au unaweza tumia magezeti ya kaki kutengeneza bahasha zako kwa ajili ya kufungashia bites kwa wateja wako katika shughuli zetu za ujasiliamali. Karibu ujifunze mwenyewe njia nyepesi kabisa na isiyo na gharama.

Category

Show more

Comments - 2