Duration 6:2

Sakata la uagizaji sukari Zanzibar, Majaliwa apigilia msumari wa mwisho

1 183 watched
0
8
Published 30 Jan 2020

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesisitiza maagizo aliyotoa alipofanya ziara kwenye kiwanda cha sukari cha Mahonda visiwani Zanzibar ni utekelezaji wa Ilani ya CCM na kusisitiza utaratibu unaoendelea sio sahihi kwa mwekezaji kukosa soko la ndani wakati mahitaji ya sukari visiwani humo ni makubwa ukilinganisha na kiasi cha sukari anachozalisha. #BungeniDodoma #AzamTVUpdates #Azamnews

Category

Show more

Comments - 8