Duration 3:1

UKIINGIA KWENYE 18 IMEKULA KWAKO, NENDENI MKAWE KIOO CHA CWT KWANZA MTU BAADAE

263 watched
0
4
Published 18 Jul 2023

Makamu wa Rais wa chama cha Walimu Tanzania CWT amewataka waandishi waendesha ofisi ambao zamani walitambulika kwa jina la makatibu muntasi wa chama cha walimu Tanzania CWT kufanya kazi zao kwa weledi mkubwa ili kuepusha migogoro na migongano inayoweza kutokea katika sehemu za kazi.

Category

Show more

Comments - 0