Duration 4:00

Fahamu mambo haya kabla ya kununua iPhone

5 730 watched
0
79
Published 6 Dec 2020

Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaotamani kumiliki simu ya iPhone hiwe ya kununua mpya Dukani au iliyotumia kwa mtu, Basi nakuomba uyafahamu mambo chache na muhimu yatakayo kufanya ujitathimini kama utaridhia kutumia iPhone, usije ukalalama baada ya kununua simu. Ni wazi kwamba ukiwa na iPhone mtaani wanakuona mto wa hali fulani ya juu zaidi ya watumiaji wa simu za Android. Je iPhone ni nzuri zaidi ya simu za Android? Basi fahamu mambo haya ya kuzingatia:- 1. Ukiwa na iPhone hautaweza kuweka memory card kwenye simu yako. 2. Ukiwa na iPhone hautoweza ku-downlod nyimbo mpya kwenye blog mbalimbali mtandaoni. Pia Ukiwa na iPhone utoweza kurushiwa nyimbo kwa Bluetooth. 3. Ukiwa na iPhone hautoweza kutumia chaji za kawaida kama zinazotumika na simu za Android. 4. Ukiwa na iPhone lile swala la ku-download WhatsApp status, insta video na mengine mengi hutoweza kufanya ukiwa na iPhone. Follow us: Facebook: http://facebook.com/poatel Instagram: http://instagram.com/poatel_ Twitter:  http://twitter.com/poatel_

Category

Show more

Comments - 25