Duration 9:56

LIVE: RAIS KENYATTA AMLILIA RAIS MAGUFULI, ATANGAZA SIKU 7 ZA MAOMBOLEZO KENYA - SITAMSAHAU

89 358 watched
0
720
Published 18 Mar 2021

🔴#LIVE: RAIS KENYATTA AMLILIA RAIS MAGUFULI, ATANGAZA SIKU 7 ZA MAOMBOLEZO KENYA - "SITAMSAHAU" Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza siku saba za maomboezo nchini Kenya kufuatia Kifo cha Rais Magufuli na bendera zitapepea nusu mlingoti, Kenyatta ametoa pole pia kwa Mama Janeth na Watanzania wote kwa ujumla. “Nimempoteza rafiki, nimempoteza Kiongozi mwenzangu na Kenya tunasimama imara na wenzetu Watanzania kwenye wakati huu mgumu, nimeongea na Mama Samia nimempa pole na kumuhakikishia tunasimama nae pamoja kwenye wakati huu mgumu,” Rais Kenyatta. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 146