Duration 19:13

EXCLUSIVE: CHEMICAL APATA TUZO YA UTAFITI BORA UDSM,KUSOMA PHD SCOTLAND CHUO ALICHOSOMA PRINCE HARRY

80 175 watched
0
686
Published 28 May 2021

Msanii wa muziki wa hip hop kwenye muziki wa Bongo Fleva, @chemical_tz wiki hii amehitimu masomo yake ngazi ya Masters of Arts in Heritage Management ambapo hatua hiyo imemfanya kupata scolaship ya kwenda kusoma PHD nchini Scotland katika chuo ambacho amesoma Prince Harry. Rapper huyo amemshukuru mwalimu wake @ichumbaki kutoka mradi wa @urithiwetu aliyenisimamia mpaka nikafanikisha vyote hivyo. Written and edited by @yasiningitu

Category

Show more

Comments - 234