Duration 3:6

ONA KAMANDA MPYA WA KMKM ALIETEULIWA NA DK MWINYI AKIINGIA KWA KISHINDO OFISINI

28 723 watched
0
106
Published 27 Apr 2021

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 625 323 932 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego cc: Maryam Busara Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman /watch/gP9ye7QajQQay /watch/Y9mrg7gbcsMbr

Category

Show more

Comments - 29
  • @
    @maryamhaji58943 years ago You are leader kwa kikao cha leo cha utambulisho mungu akusimamie kiongozi wetu kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu. 5
  • @
    @marrowog89753 years ago Tumekupokea afande.
    upo sawa. Kuna kazi za wazee na za vijana.
    1
  • @
    @Ali-nl2du3 years ago Majeshi bwana, wana mikwala ya kipekee! 2
  • @
    @gavanaimrani67773 years ago Bora tu maana iko kikosi bila ya kupata mjeda kinadorora. 2
  • @
    @murattywamuratty97783 years ago Safi sana mie napenda izo form zenu lazima uwe msafi haswaa. 4
  • @
    @manyotaskipper57653 years ago Jwtz ndio wanakabidhiwa kuongoza vikosi zanzibar tujitafakari umwninyi unafika mwishoo. 1
  • @
    @salehpirlo3983 years ago Iyo inaitwa habari ya asbhi kikakamavu. 1
  • @
    @jumakapilima56743 years ago Mbona kamanda umeanza na ' muku' hivyo!
  • @
    @simkotec30913 years ago Ilo jeshi lenyewe sasa, askari wamechokaa watu wa zenji wote walainilaini tu.