Duration 34:41

MAHOJIANO MAALUMU NA UONGOZI WA GLF

Published 18 Nov 2019

Kipindi maalumu kilichowashirkisha Mkurugenzi Mkuu Nd. Salim Mussa Omar na Meneja Mkuu, Nd. Rashid Moh'd Rashid wa Green Light Foundation kilichorushwa mubashara katika station ya Zanzibar Cable TV Zanzibar siku ya 18 Novemba 2019 Mada kuu ilikuwa ni Mafanikio ya Green Light Foundation pamoja na Mikakati yake

Category

Show more

Comments - 0