Duration 2:52

Wanasiasa wa Pwani waanza mchakato wa kuunda chama cha kisiasa

3 365 watched
0
14
Published 14 Jan 2021

Wanasiasa wa mkoa wa pwani wameanza mchakato wa kuunda chama cha kisiasa wanachotarajiwa kutumia kama safina katika safari ya kuelekea uchaguzi mkuu wa 2022. Baadhi yao wanalenga kuwa na chama kimoja cha mkoa wa pwani kwa madhumuni ya kile wanasema ni kuwaleta pamoja viongozi wa mwambao, ili kupigania haki za wakaazi na nafasi za kitaifa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Category

Show more

Comments - 5