Duration 2:10

Rais Kenyatta apandisha vyeo mawakili 24 wa mahakama kuu.

188 watched
0
2
Published 20 Jul 2020

Rais Uhuru Kenyatta amewapandisha vyeo mawakili 24 wa mahakama kuu kuwa mawakili wakuu. Miongoni mwa wale waliopandishwa vyeo ni aliyekuwa makamu wa Rais Kalonzo Musyoka , Martha Karua na Otiende Amollo ambao imesemekana wametoa huduma za kupigiwa mfano katika sekta za uanasheria na utumishi wa umma. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive

Category

Show more

Comments - 1