Duration 17:50

JAMAA AKATWA MASIKIO YAKE MAWILI BAADA YAKUKUTWA NA MKE WA MTU KICHAKANI

902 375 watched
0
2.8 K
Published 1 Mar 2021

Ibrahim Fadhili ni mkazi wa kata ya Magugu mkoani Manyara amekatwa masikio yake mawili pamoja na kuumizwa kwenye macho baada yakukutwa na mume wa binti aliyekuwa naye kwenye kichaka majira ya usiku akidai kuzungumza naye ili aweze kumsaidia kupata chuo

Category

Show more

Comments - 2175