Duration 2:51

Reker - YEYE (Official lyrics Video) AN ENDLESS EP

200 watched
0
22
Published 8 Apr 2023

Kwa niaba ya #ICAN AFRICA Shukrani zangu ziwafikie ndugu ,Jamaa na marafiki mmeendelea kuni-Support kila siku katika mziki wangu leo tena nimewaletea kubwa kuliko #YEYE inayopatikana ndani ya EP yangu mpya iitwayo #AN_ENDLESS_EP inayoachiwa Rasmi Leo Nawakalibisha kuisikiliza kupitia mitandao yangu yote (is_Reker /REKER ) .Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE ,COMMENT na SHARE .Asanteni Msiache kuni-Support

Category

Show more

Comments - 18