Duration 27:58

MAAGANO YATAKAYOKUZUIA USIFIKE MBALI SANA (na sio mbali tuu)

263 watched
0
5
Published 15 Jul 2020

Kutoka 8:28 Kutoka 14:8 Yoshua 9:27 Kuokoka ni tofauti na kufunguliwa/kuponywa. Unaweza ukawa umeokoka ila bado ni mgonjwa...n.k. Fanyia kazi ujumbe huu na Mungu akubariki sana. Kuendelea kupata mahubiri haya na mengine mengi basi tunakukumbusha ku-subscribe channel yetu

Category

Show more

Comments - 16