WAZEE 3 Waliohukumiwa KUNYONGWA WANENA; "Rais Mwinyi, Mkapa, Kikwete WALITUACHA, Tulikata TAMAA!
NAMBA YA SIMU YA KUWASILIANA NAO: +255 758 034 788 - DOLA SHAPILA
Ni simulizi ya maisha ya wazee watutu waliohukumiwa kwa pamoja kunyongwa na kukaa gerezani miaka 43 kabla ya kuachiwa kwa msamaha wa Rais Magufuli, Na hii ni sehemu ya MWISHO ya simulizi yao ya pamoja.
#MzeeMlyuka #MzeeAloyce #MzeeMwalongo
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:/playlist?list ...
GLOBAL RADIO TV:/playlist?list ...
EXCLUSIVE INTERVIEWS:/playlist?li
@globaltv_online5 years agoJe, una habari ungependa wana you tube waijue? Tutumie au tupigie whatsapp no: +255 657 955825, +255 676 229628 au +255 784 8982 - global tv online. 3
@
@deusmauka96265 years agoKama mlionewa mungu ndiye anaejua, ole wenu muwe mliua alafu mnajifanya kujuajua leo baada ya kuachiwa huru, mkili ukweli, msema kweli ni mpenzi wa mungu,. ...Expand10
@
@andrewkalyambeju23975 years agoMungu awabariki wandishi wa habari mmenitoa mchozi.
@
@rehemaelias95295 years agoDah nimejikuta nalia tu maisha haya yana mitihani yake poleni sana familia.
@
@jaklinifaustini42595 years agoPolen sana baba, zangu mungu katenda haki.
@
@jamalkimbililo91275 years agoPoleni sana wazee wangu mungu anatupenda sote mungu atawalinda sana. 4
@
@shamsahassan25865 years agoMungu atawapiganiac kazivyenu kuuwa binaadam wenzenu hivo mnaingilia kazi za molamungu awahifadhi wazee wangu inshallah. 4
@
@evajohn70015 years agoNimeshindwa kuvumilia nimelia sana, mh john pombe magufuri mungu aliyetuumba awe kila eneo la maisha yako.
@
@mariamfritsi97615 years agoMagu mungu akupe maisha marefu na pia akusamehe makosa yako yote. Mungu ataendelea kukulinda na uendelee kuokoa wengine. 3
@
@anetfaida7215 years agoPenye haki cku zote mungu hutenda haki. 12
@
@rafikiwildlife42635 years agoHongereni sana waandaji wa makala hii, mimi mch matwiga wakati nasikiliza nimetokwa na machozi mengi sana ila atukuzwe mungu kwa yote tunawaombea afya njema wazee wetu na familia zao. Mungu ambariki rais magufuli.
@
@carodavies34225 years agoHongereni sana endeleeni kumshukururaisi wawanyonge maguu, muungeni mkono hats hivyowaliopita, raisi wenu maguu alismamia . 4
@
@happymsaki17205 years agoPoleni sana ndgu zangu oneni mungu alivyo mwema nyakati hizi ndio mungu alipanga ninyi kutoka poleni sana inasikitisha sana baba zangu ila mungu aponye nafsi na mioyo yenu ni uchungu sana. 2
@
@mwanahalimamwachili96795 years agoBarikiwa sana rais magufuli, mungu akupe umri uzidi kuokoa wanyonge nataifa kwa jumla. Poleni sana wazee.
@
@josephosborne38185 years agoKama kwel hamjaua poleni sana, mungu atalipa.
@
@salimharrasy70475 years agoTumuogope mungu. wengi waliopo jela wameonewa. 3
@
@oliviaseth46525 years agoYaliyo watokea hawa wazee, mungu anajua, kabla.
@
@quranhadith16755 years agoCatherine you' re very smart. Hongera sana.
@
@omarimziya3905 years agoKila mtu kasingiziwa mh haaya mungu ndiye ajuwae.
@
@officialkamdudu5 years agoPolisi na mahakimu japo kuhukumu sio kazi yangu ila nyinyi ni watu wa motoni maana vitendo vyenu hata shetani huka pembeni kujifunza kwenu. 12
@
@mohamedomar40375 years agoMungu akupe kheri mheshimiwa kwa kuwasamehe wazee hawa yaani wafungwa 67 waliohukumiwa kunyongwa kwa makosa ambayo hayana uhakika tunashukuru sana kwa kuwahurumia hao wafungwa.
@
@wahidashabaz59825 years agoKweli sote ni wafungwa yani yatu wanafanya matukio kisha wanakamata watu na kuwafunga paspo uhakika yani maisha yao yote wazee wangu yameishia gerezani poleni sana.
@
@OnlyRuky5 years agoAllah aendelee kutulinda hata sasa hatuko salama. 9
@
@errickmwakyusa57275 years agoKiukweli ushuda pekee hautoshi muokoke waze wetu mungu anaokoa.
@
@tifadent11125 years agoKama mumemuona bibi anamuangalia mume kwa mapozi gonga like. 1
@
@khalfanabass45645 years agoAnae juwa ukweli ni mungu tu nahata kama mtu kauwa hakubali hata siku moja atakataa hadi apondane.
@
@samuelpeter69645 years agoSio zamani hata sasa watu wanasingiziwa mambo mengi na wako jela na wengine wameuwawa.
@
@rajabalfarazliganja3975 years agoKama ni fundisho ama ukiua unaukumiwa kifo basi kusiwe na watu zaidi ya mmoja kwenye hukumu ya kifo apatikane muhusika na sio wahusika. 2
@
@abednego38765 years agoTaifai lilikua na viongizi katili, wasiowaonea hurumanamali kwa kutumia kodi, na waonevu kwa masikini. Alafu cha ajabu wa2 ndiolive long jpm the man of god. 4
@
@samuelpeter69645 years agoHayo mnayoyaona kuwa ya zamani hata leo jumamosi watu wako jela na hawana kesi ya kujibu ilimradi mtu hajisikii kukuona utatafutiwa sababu inafungwa au kupotea na hata kufa kabisa maana wapo watu kwa kazi hiyo.
@
@alexmwalingo51205 years agoTumuombee raisi wetu awe na afya njema siku zote ili aendelee kututetea sisi wanyonge. 2
@
@fatmaalhabs69395 years agoMaraisi wa saman walikua hawatami. Haki za watu wengikwa makosa sio. Yao.
@
@khamisrubea50835 years agoAliyeua nae auawe ila asiuliwe mpaka uchunguzi wa kina upite. 2
@
@mohamedomar40375 years agoMarais mkapa mwinyi na kikwete kwa nini msichukue mfano wa magufuli nyinyi mnawasahau watu jela mpaka wanazeeka huko kwa kosa la maaskari na majaji wanaowafunga. ...Expand
@
@andrewkalyambeju23975 years agoRaising jpm ana watu wengi saana wanaomwombea kwa mungu.
@
@salehhamadi60705 years agoKama unaamini sote sisi ni wafungwa hakuna anaejijua kama hatofungwa achia like tujuane. 20
@
@abuyunusmohamed69615 years agoAdhabu ya kifo haifai? Je mtu akiua kwa makusudi nini hukumu yake? Je wale waliouliwa hawana haki ya kuishi? Tuwe wakweli na waadilifu. 3
@
@oparetionmaalum90305 years agoSikuzote mtenda kosa hakubali kosa lake atajitetea tu.
@
@kajaymopao16725 years agoHawa wazee walihukumiwa kinyongo bila ya hatia wametumikia jela miaka 50 walipoteza maisha yao yote jela ambapo ni makosa ya serikali awakufanya uchunguzi. ...Expand
@
@farysany61495 years agoHatakama kuna walioonewa lkn hawa wazee mmmhh kwanini wote wawe na umri unao endana na kwann wrote walikuwa na magari kwa kazi zisizo eleweka muogopeni allah nyie waja dah kama ni uongo ipo siku itadhihirika. 1
@
@babanicole8155 years agoHakuna muuaji anayekubali kaua. Hakika!
@
@fatmaalhabs69395 years agoMaraisi na mazir na majaji na mapolisi wote wazamani motoni mmezulum. Sana watu wanyoge.
@
@samuelpeter69645 years agoHasa ukionekana kuwa fikra zakujengea ziko kinyume na mtawala mwenye dhamana jiandae kupotelea kusikojulikana na hata kufa kabisa.
Related videos for WAZEE 3 Waliohukumiwa KUNYONGWA WANENA; Rais Mwinyi, Mkapa, Kikwete WALITUACHA, Tulikata TAMAA:
wengi waliopo jela wameonewa. 3