Duration 21:48

MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA IKULU, DAR ES SALAAM, 26 JUNI 2021

1 167 watched
0
6
Published 30 Jun 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Juni, 2021

Category

Show more

Comments - 0