Duration 5:49

JINSI YA KUPIKA KEKI, KILO 2 TUUU/ BIASHARA YA KEKI : Mziwanda Bakers

166 694 watched
0
1.6 K
Published 21 Nov 2019

Katika Video hii... nimejaribu kuwaelekeza jinsi yakupika keki kilo 2 kwa biashara na kwa upambaji Social media -Instagram @mziwanda_bakers Asanteni Ingredients Unga /Flour 2kg Mayai/Eggs 20 Maziwa/Milk 1ltr Sukari/Sugar 1200g Margarine 1000g Ladha/Flavour 10mls Baking powder 60g

Category

Show more

Comments - 378
  • @
    @glsflorahflekerntuuyozange4 years ago Thank you for sharing, very nice cakes. But where can i buy that oven and trays? Plz thanks.
  • @
    @ilhamkeis96094 years ago Dada mziwanda ninerudirecepe leo wallahi nataman nkutumie picha, cake zimetoka vizuuti sana na kaini.
    nakuombea kwa allah subhaana huu wataala azidi kukufungulia rizki na kukuzidishia ujuzi na barka zaidi. Aamin na shukran sana dadaangu.
    ...Expand 7
  • @
    @alexandrinadomaino98684 years ago Woow safi sana unaongea vizur thanks dear. 5
  • @
    @halimavuhya58814 years ago Mashaallah inavutia kweli mm naomba kama waweza kunipa vipimo ya kutoa keki kilo moja tu nimpikie mwanangu ya birthday. Asante. 1
  • @
    @husseinparco96404 years ago Mashallahu tumependa allah akuzidishie inshallah. 1
  • @
    @mariamsamson39274 years ago Kazi nzuri hongera. Naomba kujua naweza weka maji badala ya maziwaah.
  • @
    @fahimanassor96964 years ago Asante sana mamy naomba kujua hivyo vikopo nikimwambia fundi anitengenezee nimpe kipimo gani.
  • @
    @officialnaa84704 years ago Hongera sana nimependa vipimo tu naomba iwe rain. 1
  • @
    @judithfrank49684 years ago Kazi nzuri dear, nimeipenda, nauliza ni aina gani nzuri ya baking powrder kwa ajili ya keki na maandazi pai. 1
  • @
    @aminamwashabwi64704 years ago A. Alykm dadaa. Mzima kweli? Kimya sana. Tumekosa video zako sana wallah.
  • @
    @charlesnams13582 years ago Kazi safi sana hongera! Na je mko nafasi ya kuonyesha mtu moja kwa moja.
  • @
    @suzanealoyce65893 years ago Hongera sana dada asante kwa somo zuri.
  • @
    @user-bm5md2tz7r3 months ago Thanks quantity ya all those ingredients plz dada.
  • @
    @hussenjuma10492 years ago Minaomb kuuliz kwann mm nikipika keki haikai lev inajaa upand mmoj.
  • @
    @issahemedi40574 years ago Mashallah mziwanda bekar mko vizuri asante dada nimefata maelekezo yako cake imetoka nzuri mno mungu akubariki.
  • @
    @sofiaahmed88804 years ago Mashallah! Jee unaweza kunifundisha hio biashara nami nikafunguwa biashara yangu. 1
  • @
    @malicelaluambano61814 years ago Mashaalah kipenzi naomba nijuze hivyo vikopo vipimo vyake nikachonge mpenzi namimi ndo naanza, nijue hicho unachouza keki 10 vipimo vyake na hii ya box.
  • @
    @sabrasalum88984 years ago Asalam aleykum naomba unifundishe keki ya mayai 6 pls.
  • @
    @MariamMohamed-bw8xf4 years ago Dada mziwanda naomba tuwasiliane ili tuonge kuhusu hizo mashini dadaangu plz mm niko njee ya tanzania.
  • @
    @kasawakiraba4434last year Hello mziwanda baker sorry hapo kwenye maziwa naweza tumia kimiminika gan tofauti na maziwa?
  • @
    @sheilasalum53253 years ago Mashaallah mie nataka kujua bei ya oven na mashine.
  • @
    @magrethnzoyo12112 years ago Habali mafunzo ya keki sh ngapi? Na ni muda gani. Asant.
  • @
    @saraphinamwaluko14395 years ago Hongera sana kazi nzuri. Mungu akujalie zaidi na zaidi. 1
  • @
    @najlaskitchen15724 years ago Dada naweza tumia handmixer kwa keki hii ya kilo mbili?
  • @
    @sherrysaleh46334 years ago As. Kum habibty naomba kujua kwa mchanganyiko huo wa 2kg unatoa cupcake ngapi ndani yake za 500.
  • @
    @sarahwilson5865 years ago Hongera sisy. Nimefurahi kuona kazi zako huku. Big up. 1
  • @
    @ashanassor71035 years ago Asante mimi niko uganda lathaa hizo zapatikana. 1
  • @
    @anethmpoma11324 years ago Samahani dada, kwenye baking powder ni 60g ambayo ni vijiko vingapi? 1
  • @
    @dorineanatory51614 years ago Nilitumia hii recipe cake ilitoka vizuri sana. Asante.
  • @
    @fatinasempanga24554 years ago Me naomba kujua kinachofanya cake iwe na unjano mzuri ndani na sio brown.
  • @
    @glorymsof58793 years ago Nimeipenda sana kwa kwel sasa napataje hivyo vikopo jaman.
  • @
    @rehemavincent50344 years ago Hi mziwanda,
    je natakiwa ku preheat kwa muda gani na moto wa kiasi gani? Natumia oven mdogo
    pia wakati wa kuoka natakiwa kuset bakingipi? Natumia pmc oven.
  • @
    @elizabethsamwel96554 years ago Zimetoka cake ngap? Na ukumbwa wa inch ngap? Thanks sis.
  • @
    @muznasilima59782 years ago Habar dada
    nimejaribu kufany ila sikuziweza hazikuvimb hlf km zilikua na nzito na majimaji.
  • @
    @dorcasbundala25973 years ago Its nice, bt nmejarbu yangu haina weupe mzur kwa ndan na ulaini.
  • @
    @janethamars72624 years ago Jamani mkoa wa mwana amna wauzaji wa cake mm niko nyehunge buchosa nataka cake ya birthday ya mwanang.
  • @
    @brenderminani945 years ago Mungu akudaidie katika kazi yako upo vzr nimeelewa ila vizur ungetuambia sukar kiasi gani bluband kias gan kula kitu ulichotumia ni kiasi gani nakupenda na kazi yako.
  • @
    @bettymassanja8814 years ago Samahani dada mziwanda bakers, gram 60 ni sawa na vijiko vipimo vingapi tafadhali?
  • @
    @tumainijacob601810 months ago Naomba vipimo vya cake ya unga kilo mbili.
  • @
    @zunaidahkhatym41754 years ago Naomba utuwekee na vipimo sijaona mfano baking powder umeeka vijiko vingapi.
  • @
    @brenderminani945 years ago Dear ninashida na namba yako ya biashara.
  • @
    @sabrasalum88984 years ago Naomba namba ya whatsup pls kama hnafundisha kwenye whatsup.
  • @
    @agnessahia4154 years ago Hivi nisipo weka maziwa inakuwaje na cupcakes ukiziweka maziwa zinachukua mda gani bila kuharibika dada naomba unijibu pls.
  • @
    @sharoo_cakes2 years ago @mziwanda bakers jee waeza nisaidia na vipimo za tin yako ya shepu na mkate(loaf pan) nitashukuru sana.
  • @
    @azzahsaed76874 years ago Habari keki nzuri ma sha allah lkn naomba kuuliza zinaweza kukaa mda gani bila kuharibika kwasababu umetuma maziwa au lazima zikae kwenye fredge.
  • @
    @lmmaculatetoto39574 years ago Beautiful, nitajaribu ata mimi, nakupenda sana.
  • @
    @floraelias57122 years ago Ss unaelekeza lkn wala huelezei vipimo ndo nn sa.
  • @
    @noelakataraiha66924 years ago Nmekupendaa! Yaan uko yule mtu watu tunataka.
  • @
    @zuhurashafii63054 years ago Amazing job, hongera sana, nataman kufika hatua uliyofika, nataka kujua baking tin zako ni inches ngap kwa ngap.
  • @
    @bahatimsuya30314 years ago Hongera sana kazi yako nzuri sana. Naomba kujua bei ya oven kama hiyo na naipata wapi?