Duration 4:36

PART 1: MUONGOZA NDEGE WA KWANZA MWANAMKE TANZANIA NILIPENDA URUBANI, NILIPATA 1988

7 549 watched
0
47
Published 7 Mar 2020

Mwanajumaa Kombo ni mwanamke wa Kwanza wa Kitanzania kufanikiwa kuongoza Ndege ambaye alipata rasmi leseni yake mwaka 1988 ambapo hadi sasa anaendelea kufanya kazi katika kitengo hicho.

Category

Show more

Comments - 13