Duration 15:53

EXCLUSIVE NA SUSUMILA: afunguka kufanya kazi na Alikiba, AY na Innos B, adai WCB wana nguvu kimuziki

6 391 watched
0
171
Published 29 Jun 2021

Msanii wa muziki toka Kenya SUSUMILA amefanyiwa mahojiano na GIANTMAN na kueleza urahisi alioupata hadi kufanya kazi na wasanii toka Label ya WCB hapa Tanzania, jinsi alivyompata Shomadjozi na kufanya naye kazi, ujio wa EP yake iitwayo King is King, collabo na wasanii wakubwa nchini Tanzania na Congo na mengine #Susumila

Category

Show more

Comments - 20