Duration 2:23

Sababu ya KUSIKITISHA ya mchezaji EDGER DAVIDS kuvaa MIWANI UWANJANI

34 504 watched
0
301
Published 15 Feb 2021

Edger davids alizaliwa huko suriname ambayo ni nchi yenye uhusiano wa kindugu na netherland,na mwanzo kabisa wa keria yake katika mpira wa miguu alianza kucheza katika timu ya ajax na baadae kucheza katika timu nyingi kubwa kama Barcelona na milan na nyingine nyingi. Wakati nyota yake ikizidi kuangaza katika ulimwengu wa soka mwaka 1995 edgar alifikwa na mazito ambayo yangeweza kukatisha kabisa maisha yake katika soka

Category

Show more

Comments - 15