Duration 8:1

IJUE SAINI YA HAYATI MAGUFULI NA OFISI ALIYOHUDUMU AKIWA MWALIMU ENZI ZA UHAI WAKE

18 909 watched
0
118
Published 2 Apr 2021

Bado Taifa lipo kwenye siku 21 za maombolezo ya kuondokewa na aliekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli, leo tumefika shule ya Sekondari Sengerema ambapo Hayati Magufuli aliwahi kufundisha masomo ya Chemistry na Hesabu enzi za uhai wake, hapa tumeoneshwa ofisi aliyokua anaitumia pamoja na vitabu alivyowahi kuweka saini yake

Category

Show more

Comments - 44