Kama ulikuwa hujui, mara nyingi maneno mnayoongea na mume au mke wako yanaweza kuboresha au kuua tendo lenu la ndoa. Natamani sana nikusaidie maswali ambayo ukimuuliza mpenzi wako yanaweza kuamsha tendo la ndoa na kuwafanya kufurahia zaidi.
#ChrisMauki#Tendo#LaNdoa