Duration 10:26

SIRI 9 WANAUME KUKATAA MIMBA ZA WAPENZI WAO.

248 watched
0
1
Published 25 Nov 2021

Miaka ya hivi karibuni watoto wengi uzaliwa na kulelewa na mzazi mmoja hii ni kutokana na Wanaume wengi kukataa ujauzito kwa sababu mbali mbali hizi ni baadhi tu ya sababu hizo 1.kuanza kishiriki tendo la ndoa katika umri mdogo na kutumia tendo la ndoa kama njia kuu ya burudani au starehe tu. 2.kuhofia/ kuogopa majukumu ya kulea Mama na Mtoto. 3.kushiriki tendo la ndoa kwa tamaa zaidi. Endelea kufuatilia video utaweza ona na sababu nyengine ..................... Usiache ku-subscribe, share na comment /watch/4dfRI8QMjtQMR contact me on https://www.facebook.com/stephen.kalonga.1

Category

Show more

Comments - 0