Duration 7:4

SIMBA SC TUMEMALIZANA NA TFF, WACHEZAJI WETU KURUDISHWA STARS .

697 watched
0
4
Published 1 Sep 2018

Suala la wachezaji 6 wa Simba SC na TFF lamalizika baada ya kocha Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amonike kukutana na kuongea na wachezaji hao. Hayo yamebainishwa na Afisa Habari wa TFF, Clifod Ndimbo na Mkuu wa Kitengo cha Habari na mawasiliano ndani ya Simba SC walipoongea na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Hostel za TFF.

Category

Show more

Tags

Comments - 3