Duration 3400

JINSI YA KUSAFISHA GARI BILA KUCHUBUA RANGI.MBIO ZA MAGARI.

282 watched
0
1
Published 14 Mar 2021

#Ufundi360, #Jinsi, #Tengeneza Usafi wa gari ni jambo muhimu sana katika matunzo yake. Fahamu Jinsi ya kusafisha gari bila kulichubua rangi. Gari likichubuka rangi huitaji tena gharama kwa ajili ya kulirudishia rangi yake. Njia rahisi sana ya kusafisha 1. Hakikisha unalimwagia maji kabla ya kulisugua. 2. Tumia kitambaa / Kitu laini kusafisha. 3. Tumia mbinu ya kuondoa uchafu tu wakati wa kulisafisha. 4. Tumia sabuni sahihi ya kusafishia. 5. Liweke kwenye mteremko ili likauke vizuri. - epuka kulikausha katika jua kali. shukrani kwa kutazama video hii. Tafadhali share na SUBSCRIBE.

Category

Show more

Comments - 0