Duration 28:7

DK.LWAITAMA: NDUGAI NI HIYARI YAKE/MWAMBE KUITWA BUNGENI/NI UNAFIKI MTUPU

59 534 watched
0
385
Published 24 May 2020

Mchambuzi wa masuala ta kisiasa Dk. Azaveli Lwaitama amezungumza na MwanaHALISI TV kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea nchini likiwemo suala la Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai kumuita Bungeni aliyekuwa Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya Chadema, Cecil Mwambe kuwakilisha wananchi wa jimbo hilo licha ya kuwa ameshahma chama hicho. Pia Lwaitama amezungumzia kuhusu sakata la baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza wazi kuwa hawakubaliani na msimamo wa chama au Mwenyekiti wa chama lakini bado wanaendelea kuwa ndani wa chama hicho wakidai ni wabunge.

Category

Show more

Comments - 392