Duration 2:22

KORONA IPO, ASEMA MKUU WA WILAYA YA KAHAMA

122 watched
0
0
Published 14 Jul 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh Festo Kiswaga amesema kuwa Korona ipo na akatoa tahadhali kwa wananchi kuchukua tahadhali zinazoelekezwa na wizara ya Afya kwa kujikinga. Ameyasema hayo alipokuwa akiongea kupitia kituo cha Redio cha Huheso Fm katika Manispaa ya Kahama kwenye kipindi cha Morning Class (Darasa la asubuhi) Amewataka viongozi pia kusimamia maeneo ya biashara, Majumbani pamoja na yenye mkusanyiko kuwa na maji tiririka na kuvaa Barakoa kujikinga na janga hili.

Category

Show more

Comments - 0