Duration 3:11

Kinara 'FORM 6' afunguka siri ya matokeo yake

5 993 watched
0
47
Published 13 Jul 2018

Kijana Anthony Kalugendo (20) ametangazwa na Baraza la Mitihani ya Taifa (NECTA) kuwa mwanafunzi wa kwanza katika mtihani wa kidato cha sita mwaka 2018. Daily News Digital imefanya nae mawasiliano kwa nia ya simu, ambapo ameeleza masuala mbalimbali ikiwemo siri ya mafanikio hayo aliyoyapata.

Category

Show more

Comments - 13