Duration 5:36:11

LIVE​​​​​​​​​​​​​​​: IBADA YA JUMAPILI

10 952 watched
0
148
Published 9 May 2021

#HaleluyaTv #ProphetRolinga #OmegaMinistriesChurchofAllNations #OCOAN Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:- Facebook : https://www.facebook.com/prophetrolinga Instagram : https://www.instagram.com/prophetrolinga/ YouTube : /c/HaleluyaTv Audiomack : https://audiomack.com/prophetrolinga

Category

Show more

Comments - 45
  • @
    @kkjustn83852 years ago Mungu naomba uzidi kunifunguwa maisha ya familia yangu yote amen.
  • @
    @rizikichigodi43163 years ago Aamina, nimepokeya wokovu wa kumiliki katika maisha yangu, kwa jina la yesu ameen.
  • @
    @philenisonywoki25363 years ago Amen mungu ameondosha vikao vyote vya shetani juu ya maisha yangu na familia yangu katika jina la yesu amen.
  • @
    @sabinaboas21323 years ago Shika moto kiti cha enzi kwa jina la yesu.
  • @
    @sweetletmushi14103 years ago Asante yesu kwa sjili ya mtumishi wako loringa.
  • @
    @kelvinromwad17773 years ago Nibariki magonjwa yote yatoke pia nifanikiwe katika maisha yangu.
  • @
    @lydiamurugi11633 years ago Mungu tuonekanie naleanga watoto wangu peke wangu na maisha wamekua mangumu sana kwangu. Pray for me.
  • @
    @wivinekwinja98813 years ago Nina imani mungu ananiona na mimi, jeshi la mbingini liende kishote kwangu kuliya kwangu mbele yangu nyumba yangu likae kwenye kiti cha shetani liondefeshe muchawi anae tesa familia yangu.
  • @
    @wivinekwinja98813 years ago Barikiwa sana nabii wa mungu, nakufata baba yangu niko drc.
  • @
    @rosekadi67773 years ago Aki family wangu kuna kiti chaenzi chashetan mimi nimeokoka naombea sana ndungu wamepotelea kwaulevi ninauzu sana leo kiti chakuzim kinavunjika katika jina layesu nimebarikawa naneno la sunday.
  • @
    @rosekadi67773 years ago Aki mimi nina pata mume mzuli lakini penzi letu alidum nashida kuelewa wengine wamenizalisha watoto wamenizalisha.